See the English version of this
Kwa watu wengi, matumaini yao ya kuanzisha biashara katika siku za usoni ni kwa kufanya hivyo wakiwa bado wameajiriwa mahali kwengine.
Na kwa kweli uwezi kuwalaumu kwa kukosa ujasiri. Ajira ni ngumu sana kupata siku hizi. Na ukiwa na bahati ya kupata kazi uwezi kuiacha ukikimibilia biashara ambapo ujui matokeo yake itakuaje. Ukijaribu kuwakilisha fikirio kama hili la kuwacha kazi nzuri na kuanzisha biahara kwa mke au jamii watakushangaa.
Ingawa ukweli ni kwamba mafanikio makubwa katika biashara ukuja kwa wale walio tayari kwa hatari yote na kuchoma madaraja yao yote ili kwamba hakuna njia isipokua kufaulu kwa biashara yao. Lakini pia kuna faida nyingi ukifanya biashara kando ya kuajiriwa.
Pengine mahali unafaya kazi uko na kazi nyingi sana kiasi ya kwamba ufikiri kama utaweza kamwe kuanzisha biashara ukiwa bado pale. Pengine hata unafanya kazi ya shift ambapo kuna muda mwengine unaingia kazini usiku mzima. Utashangaa kugundua kwamba kuna njia na mbinu amabye unaweza kutumia kuanzisha biashara hata kwa mazingira magumu kama haya.
Hii inathibitisha kuwa hakuna mtu ambaye hawezi kwenda katika biashara, kama wana nia ya kutosha na hivyo mpango makini.
Kuna kundi jingine la watu ambao wanaweza kufaidika na biashara ya sehemu ya muda na hawa ni watu ambao tayari wako katika biashara. Mtu anaweza kwa urahisi kuanza biashara upande ya kuongeza mapato ya biashara yao kuu. Au kama wewe uko kwa biashara amabapo umeshirikiana na watu wengine, ni wazo la busara kuwa na biashara upande ambapo wewe ni mmiliki pekee na unaweza kufanya maamuzi yote mwenyewe. Kwa kweli kuna matukio ambapo watu wameanza biashara nyingi kwa upande wakiwa bado katika kazi ya kudumu ama biashara yengine.
Unaweza kupata kitabu hiki cha ajabu sasa. Iko na maelezo, mbinu na utalamu wote wa kuanzisha biashara ikiwa bado umeajiriwa. Itakuwa katika barua pepe. Tuma shilingi 7900 kupitia Mpesa kwa numbari 0752 604093 sasa na uanze kubadilisha maisha yako ya usoni.
Au andika kwa mwandishi kwa maelezo zaidi: ckyalo@gmail.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment